Rais Kenyatta atoa changamoto kwa vijana kuchukuwa mikopo kutoka kwa hazina ya vijana uwezo
21st November, 2014
Rais Uhuru Kenyatta ametoa changamoto kwa vijana kuchukuwa mikopo kutoka kwa hazina mbili zilizoanzishwa na serikali ambazo ni hazina ya vijana na uwezo ili kuanzisha biashara zao.