×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke mmoja ajitokeza akidai kuwa Mke halali wa marehemu Otieno Kajwang

21st November, 2014

Ripoti ya uchunguzi wa kilichosababisha kifo cha seneta wa Homa Bay Otieno Kajwang imeaashiria kuwa alifariki kutokana na ugonjwa wa moyo. Akitoa ripoti hiyo, mpasuaji mkuu wa maiti serikalini dakta Johansen Oduor amesema kuwa ripoti hiyo itahitaji utafiti zaidi kwa ushirikiao na chuo kikuu cha Pretoria Afrika kusini, ili kuthibitisha mengi zaidi…. Wakati huohuo, mwanamke mmoja amejitokeza na madai kuwa yeye ndiye mke wa halali wa marehemu Kajwang. Ali Manzu, anaarifu zaidi.
.
RELATED VIDEOS