Ni nini humsababishia mtu kiu cha damu na hata nyama ya binadamu mwenzake
16th November, 2014
Visa vya binadamu kuwala binadamu wenzao na hata kunywa damu yao vimekithiri. Washukiwa wakikiri kuhusika katika visa hivyo baadhi wakitoweka wasipatikane ilhali wengine wakifungwa. Mary Kilobi alizungunza na Dkt. Frank Njenga ambaye ni mwanasaikolojia kuweza kubaini ni nini hasa humsababishia mtu kiu cha damu na hata nyama ya binadamu mwenzake.