×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ndovu ni adui mkubwa Taita Taveta kwa uvamizi na uharibifu unaowafanya wakaazi kusalia fukara

16th November, 2014

Kwa wengi ndovu ni baadhi ya wanyama ambao ni kitega uchumi katika sekta ya utalii lakini kwa baadhi ya wakaazi Kaunti ya Taita Taveta mnyama huyu ni adui mkubwa kutokana na kuvamiwa na ndovu na uharibifu ambao wamedai kuwafanya wao kusalia fukara. Francis Mtalaki alizuru kaunti ya Taita Taveta na kutuandalia masaibu wanayopitia wakaazi wanaoishi katika mpaka wao na mbuga ya wanyama pori ya Tsavo.
.
RELATED VIDEOS