Huduma muhimu kama vile utumizi wa mtambo wa ATM ni nadra katika mji mkuu wa Mogadishu.
16th November, 2014
Taifa la Somali limekuwa vitani kwa takriban miaka 23 tangu kung’atuliwa mamlakani Rais Siad Barre, lakini biashara bado zinaendelea. Ukosefu wa usalama umekosesha nafasi sekta ya benki kukua, huku taifa zima likiwa na benki mbili pekee.