×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mike Sonko awapa wanafunzi wa Loreto Msongari walioadhirika katika ajali ya barabarani, milioni moja

16th November, 2014

Sonko aliwapa wanafunzi wa shule ya Loreto Msongari waliohusika katika ajali ya barabarani mwaka jana mchango wake wa Millioni moja zinazojumuisha laki sita kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta na mchango wake wa kibinafsi wa laki nne. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya watu elfu tatu hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani na wengine kusalia na ulemavu.
.
RELATED VIDEOS