×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

TIBA MUJARABU: Kibuyu cha kupeana mimba katika eneo la Mijikenda

15th November, 2014

Swala la utasa limewasumbua akina mama wengi kwa muda mrefu na hata kufanya baadhi kupewa talaka . Lakini je wafahamu kuwa katika jamii ya Wamijikenda kumekuwepo na ile imani kuwa kibuyu fulani kinachopweanwa na mganga chaweza kutatua tatizo hilo?agnes penda alizuru eneo la kambe katika kaunti ya kilifi ambako kibuyu hicho kinachoitwa mwana wa ndonga kimethaminiwa na baadhi.
.
RELATED VIDEOS