Naibu wa Rais William Ruto atoa agizo la kukamatwa kwa wanaume waliomvua nguo mwanawake
15th November, 2014
Naibu wa rais william ruto ametoa agizo la kukamatwa na kushtakiwa kwa wanaume waliohusika katika kuwavua nguo wanawake jijini nairobi na likoni. Akiongea katika hafla huko bungoma, ruto amekashifu vikali vitendo hivyo akisema kila mmoja ana uhuru wa kuvaa atakavyo.