×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanasheria Mkuu Githu Muigai atofautiana na Evangelical Alliance of Kenya

14th November, 2014

Baadhi ya maaskofu wakiongozwa na Mark Kariuki wa Evangelical Alliance of Kenya leo wameondoka kwenye mkutano ulioitishwa na Mwanasheria Mkuu Githu Muigai kushauriana kuhusu sheria za kudhibiti mashirika ya dini. Hatua hiyo iliwaacha maaskofu wachache kwenye kikao cha prof githu ambacho kiliendelea jinsi ilivyokusudiwa. Lofty matambo anataarifa kuhusu jinsi mchakato huo wa kuibuni sheria hiyo ulivyokwenda.
.
RELATED VIDEOS