Wenyeji wa eneo la Kapedo wanadai kuhujumiwa na maafisa wa usalama waliopelekwa katika eneo hilo
13th November, 2014
Wenyeji wa eneo la Kapedo linalokumbwa na oparesheni ya vikosi vya usalama wanadai kuhujumiwa na maafisa wa usalama waliopelekwa katika eneo hilo. Mwanahabari wetu Kamche Menza aliyezuru baadi ya maeneo ya baringo mashariki anasema amepata mifugo kadha wakiwa wameuawa huku wakazi wakidai ni thibitisho la kikazi ya vikosi hivyo.