×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wawakilishi wa katoliki wathibitisha chanjo ya pepo punda ina kemikali inayoathiri uzazi

11th November, 2014

Maswali yanazidi kuongezeka nchini kuhusu madai ya kanisa katoliki kwamba chanjo inayotolewa nchini dhidi ya maradhi ya pepo punda inaendeleza njama fiche. Wawakilishi wa kanisa hilo wamefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya na kushikilia kauli zao kwamba watafiti wao wamethibitisha kwamba chanjo hiyo ina kemikali inayoathiri uzazi
.
RELATED VIDEOS