Sasa ni rasmi. Morocco haitakuwa mwenyeji wa fainali za kombe la bara Afrika mwaka 2015
11th November, 2014
Kamati kuu ya shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF, imethibitisha kuwa Morocco, ambayo ilikuwa imepeana ilani kuwa haitakuwa mwenyeji kwa kuhofia ugonjwa wa Ebola, sasa haitakuwa mwenyeji.