x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wasichana Garissa wanahofia iwapo wanajiunga na kikosi cha NYS, huenda wakakosa kuolewa

09, Nov 2014

Mtoto wa kike ni kama ambari na dhahabu katika jamii yetu, na hatukubali wao kujiunga na kikosi cha maafisa wa NYS. Hii ndio kauli ya baadhi ya wazee wa jamiikutoka Garissa baada ya zoezi la kutafuta vijana wa huduma kwa taifa kukosa mtoto wa kike sehemu hio. Baadhi ya wasichana wanahofia iwapo wanajiunga na kikosi hicho, huenda wakakosa kuolewa. Hamza Yusuf anaarifu zaidi.

RELATED VIDEOS


Feedback