Ulezi wa watoto katika jela
8th November, 2014
Mtazamaji unaposikia Tarifa ya wanawake wajawazito na walio na watoto wao gerezani nini hukujia akilini? Huenda unapata picha ya dhuluma na mateso kama zilivyo za watu wengi, mwanahabari wetu Nicholas Wambua alizuru gereza la wanawake la Langata na kutuletea hali ilivyo.