x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Swala la umiliki wa mali katika ndoa

08, Nov 2014

Mali inayopatikana katika ndoa kulingana na sheria ya umiliki katika ndoa inafaa kuwa katika majina ya mke na mume wake iwapo mali hiyo imechumwa na wawili hao . Lakini kulingana na hali ilivyo sasa wana ndoa wengi wameweza kujinunulia mali kisiri bila kuwafahamisha wenzao . Wanawake hasa wamepata kulaumiwa na wanaume katika swala hili. Hii hapa taarifa kuhusu sababu ambazo zimetolewa na wanawake za kuwaficha wanaume kuhusu mali wanazokuma katika ndoa.

RELATED VIDEOS


Feedback