×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Moses Wetangula akumbwa na tatizo la kupumua huko Kisumu

7th November, 2014

Seneta wa Bungoma Moses Wetangula hii leo asubuhi alipelekwa katika hospitali ya aga Khan kisumu baada ya kukumbwa na matatizo ya kupumua. Baada ya kupata habari hizo kwenye mtandao, kinara wa CORD Raila Odinga alimzuru Wetangula katika hospitali hiyo . Daktari mkuu katika hospitali ya agakhan kisumu Sam Oula alisema kwamba Wetangula alikumbwa na tatizo la kupumua ndani ya ndege alipokuwa akisafiri kutoka Nairobi kuelekea kisumu. Hata hivyo alihudumiwa pamoja na kuangaliwa afya yake na madaktari na kisha kuruhusiwa kwenda nyumbani.
.
RELATED VIDEOS