Mbunge wa Chptiret Oscar Sudi azabwa kofi na afisa wa Polisi
7th November, 2014
Kizaaza kilizuka pale mbunge wa kapseret oscar sudi alidai kuzabwa kofi na afisa mmoja wa polisi kutoka kituo cha cheptiret. Kulingana na Oscar Sudi afisa huyo alimuomba ambebe kwa gari lake na baada ya mmoja wao kuingia kwa gari hilo mwenzake alimweleza mwakilishi huyo kuwa alikuwa anaendesha gari kwa mwendo wa kasi.