Chama cha riadha chakutana na Rita Jeptoo kuhusu kutumia dawa za kusisimua misuli
4th November, 2014
Chama cha riadha nchini kimefanya mkutano na bingwa mara mbili wa mbio za Boston na Chicago Rita Jeptoo kuhusiana na madai ya kutumia dawa za kusisimua misuli kabla ya kushiriki mbio za Chicago mapema mwezi October