×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamii za Wasudan Kusini kudaiwa kuzua uhasama na jamii ya Wakongo

2nd November, 2014

Hali ya wasiwasi imetanda katika kambi ya kakuma sehemu ya turkana baada ya jamii za wasudan kusini kudaiwa kuzua uhasama na kupelekea vita na jamii za warundi na wakongo. Ni vita ambavyo kulingana na maafisa wa polisi vimewaacha watu 8 wamefariki. Kwa sasa wakimbizi wa burundi,kongo na rwanda wamehama makazi yao kambini humo na kukita kambi katika vituo vya polisi na hata makanisani.
.
RELATED VIDEOS