Taifa la Zambia kuongozwa na kaimu rais mwenye asili ya kizungu kwa miezi mitatu
29th October, 2014
Taifa la Zambia litaongozwa kwa miezi mitatu na kaimu rais mwenye asili ya kizungu kufuatia kifo cha rais michael sata... Sata amefariki jana usiku akipokea matibabu katika hospitali ya king edward the seventh jijini london,agnes penda anaarifu.