×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya tisa waliokwama nchini Liberia warejea nchini na kupimwa kuwa salama

29th October, 2014

Wakenya tisa waliokwama nchini Liberia baada ya shirika la ndege la Kenya kusitisha zafari zake nchini humo hatimaye wamerejea nchini. Punde baada ya kutua uwanjani JKIA wakenya hao wamefanyiwa uchunguzi wa virusi vya Ebola na Marburg na kupatikana kuwa salama. Maswali yameanza kuulizwa kuhusu ni kwanini wizara ya afya imeagiza kwamba wakenya hao hawatatangamana na watu kwa muda wa siku 21
.
RELATED VIDEOS