×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakenya wanaodhulumiwa kwa kukosa uwakilishi washauriwa jinsi wanavyoweza kufanikiwa kwenye kesi

27th October, 2014

Wakenya wanaodhulumiwa kwa kukosa uwakilishi wa kisheria wamepata fursa ya kushauriwa kuhusu jinsi wanavyoweza kufanikiwa kwenye kesi hizo. Kwenye shughuli iliyoongozwa na jaji mkuu Dkt Willy Mutunga na ambayo pia inafanyika kote nchini, imeibuka kwamba tatizo kuu linalowakumba wakenya kisheria ni suala la ardhi.
.
RELATED VIDEOS