×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Licha ya kuleta afueni na kurahisisha usafiri nchini, boda boda zageuka kuwa kero kuu (Part 1)

25th October, 2014

Shughuli za uchukuzi wa bodaboda zimekuwa zikipata umaarufu kila siku humu nchini. Ni uchukuzi ambao umetokea kupendwa na wengi kutokana na unafuu wake pamoja na kuwa na uwezo wa kuingia hadi sehemu ambazo magari ya uchukuzi wa umma huwa hayafiki. Lakini mbali na faida zake bodaboda zimeleta maafa zaidi .katika sehemu ya kwanza ya makala haya ya mtitigo barabarani mwanahabari wetu hussein mohammed anadadisi na kutupa taswira kamili ya faida za bodaboda na madhara yake.
.
RELATED VIDEOS