Mwanamke mwajiri aliyemdhulumu kijakazi wake Nakuru hatimaye ashtakiwa
24th October, 2014
Mwanamke aliyekiri kumchoma kijakazi wake kwa kisu cha moto amefikishwa mahakamani mjini Nakuru na kukiri kuhusika makosa hayo. Everlyn Atieno, mwenye umri wa miaka 27 anakabiliwa na tuhuma mbili ambazo ni ukatili na kumwajiri mtoto mwenye umri wa chini ya miaka 18. Kamche Menza anaarifu