x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mfanyakazi wa sulubu kwenye duka moja kuu jijini auawa na lifti mbovu kazini

23, Oct 2014

Mtu mmoja amefariki papo hapo baada ya lifti aliyokuwemo ndani akipakia mizigo katika duka la Tuskys Nairobi kuanguka kutoka gorofa ya nne eneo la chini la jumba hilo maarufu kama basement. Kisa hicho kimeibua ukosoaji mkubwa huku waliokuwamo dukani wakilalamikia ukuu- kuu wa mashine zinazotumiwa na wafanyakazi kwenye baadhi ya maduka makuu jijini. Lofty Matambo na taarifa hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback