×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Madaktari mjini Nakuru wathibitisha dhuluma dhidi ya mjakazi baada ya KTN Leo kufichua kisa

23rd October, 2014

Madaktari mjini Nakuru wamepima kiwango cha majeraha ya msichana yaya ambaye KTN Leo imefichua dhuluma anazopitia mikononi mwa mwajiri wake hapo jana. Na sasa wanasema mbali na changamoto za kutibu majeraha ya kuchomwa kwa moto, msichana huyo vilevile ameathirika kisaikolojia. Wakati huo huo polisi wanasubiri ripoti hiyo ya afya kumfungulia mwajiri wake mashtaka. Kamche Menza amekuwa akifuatilia suala hilo
.
RELATED VIDEOS