Zaidi ya watu 50 wanadai walinunua ardhi ya Karen kwa kampuni ya Telesos
21st October, 2014
Zaidi ya watu 50 ambao walikuwa wameanza ujenzi kwenye ardhi inayozozaniwa mtaani Karen wamejitokeza na kusema walinunua ardhi hiyo kutoka kwa kampuni ya Telesos kati ya mwaka 2005 na 2011. Aidha wamesema wao sio wanyakuzi. Hatua hii huenda ikazua utata zaidi kwenye ubishi unaokumba ardhi hiyo yenye ukubwa wa ekari 134