Shujaa: Polisi mmoja aliyetumia maneno kutuliza ghasia badala ya bunduki
20th October, 2014
Maafisa wa polisi hushikilia wajibu muhimu sana katika taifa kulinda usalama wa raia na mali kando na kuhakikisha utulivu na amani zinadumu. Lakini je umewahi kuwachukulia au kuwatizama kama mashujaa?