×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru Kenyatta ataka Mahakama kupewa nafasi ya kutekeleza majukumu yao

18th October, 2014

Rais uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto wanataka mahakama na taasisi zinazohusika na upelelezi kupewa nafasi ya kutekeleza majukumu yao kikamilifu ili kufichua sakata kuhusu umiliki wa ardhi yenye kuzozaniwa katika mtaa wa kifahari wa Karen. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, msemaji wa ikulu ya rais Manoah Esipisu amesema mtu yetote au afisa wa umma atakayepatikana na makosa ya kuhusika kwa njia moja au nyingine kwenye sakata hiyo ataadhibiwa kwa mujibu wa sheria zilizopo.
.
RELATED VIDEOS