Shughuli za matayarisho ya mazishi ya marehenmu Profesa Ali Mazrui zimekamilika
18th October, 2014
Shughuli za matayarisho ya mazishi ya marehenmu msomi na mwandishi wa vitabu profesa Ali Mazrui aliyefariki nchini marekani zimekamilika huku mwili wake ukisubiriwa kufika nchini hapo kesho kwa mazishi . Hata hivyo baadhi ya waumini wa Kiislamu wameteta kufuatia kuchelewa kwa mazishi yake . Familia yake hata hivyo imedai kuwa ilikuwa Wosia wa mrehemu kuletwa nyumbani kwa mazishi .