Mjadala: Kanisa la Katoliki yatoa maoni dhidi ya pepo punda yani tetanus
18th October, 2014
Mjadala kuhusu mpango wa serikali kutoa chanjo dhidi ya pepo punda yani tetanus kwa wanawake humu nchini limezidi kuzua hisa mseto katika jamii. Kanisa katoliki limeibua hisia kali dhidi ya chanjo hiyo ambayo linadai inauna kuwakinga wanawake dhidi ya shukia mimba. Kwa upande mwingine serikali insisitiza kwamba chanjo hii inalenga kuzuia tu pepo punda miongoni mwa wahusika ni hali inayowaacha wengi katika njia panda.ktn inavalia njuga suala hili.