×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafugaji katika kaunti ya Laikipia kuanza chama cha kuwekeza fedha ili kuwaokoa wakati wa kiangazi

17th October, 2014

Wafugaji hukabiliwa na changamoto nyingi kutokana na desturi za ufugaji zinazowafanya kuhamahama kutafuta malisho. Hali hiyo imewafanya wengi kukosa njia za kuwekeza fedha ili kuwaokoa wakati wa kiangazi mifugo inapokufa. Lakini hali imeanza kubadilika baada ya kundi moja la wafugaji katika kaunti ya Laikipia kuanza chama cha ushirika. Carol Nderi amerejea kutoka Laikipia kaskazini na hii hapa taarifa yake.
.
RELATED VIDEOS