×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hofu ya wizi wa fedha za wakulima wa miwa katika serikali ya Kakamega

17th October, 2014

Wakulima wa miwa katika eneo la mumias kaunti ya kakamega wanashinikiza serikali ya kaunti hiyo kufafanua matumizi ya shilingi milioni 200 zilizotengwa na bunge la kaunti hiyo kuiwezesha kampuni ya mumias kuwalipa madeni yao. Serikali ya kaunti hata hivyo imejitetea ikisema zilitumiwa vyema. Na kama anavyoarifu Francis Ontomwa huenda fedha hizo zimefujwa.
.
RELATED VIDEOS