×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mchimba mgodi afukiwa na udongo kwenye mgodi eneo la Ikolomani kaunti ya Kakamega

15th October, 2014

Wanakijiji katika eneo moja la Ikolomani kaunti ya Kakamega wamekumbwa na majonzi pale mchimba mgodi mmoja alifukiwa na udongo kwenye mgodi. Kisa hicho kimetokea mwendo wa saa tano asubuhi na kutatiza wakazi ambao hadi kufikia sasa bado kuondoa mwili huo kwenye machimbo hayo.
.
RELATED VIDEOS