×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

"Harambee bado tutafanya" wasisitiza Wabunge licha ya onyo kutolewa na tume ya maadili

14th October, 2014

Kanuni mpya za serikali za kuwakataza maafisa wa serikali kushirikia michango ya harambee zimekosolewa vikali kwenye kikao cha alasiri cha bunge. Wabunge wamesisitiza kuwa wataendelea kushiriki shughuli za kuchangisha fedha licha ya onyo kutolewa na tume ya maadili na kupambana na ufisadi kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria. Upande wa upinzani umekuwa ukilalama katika siku chache zilizopita kuhusu swala hilo ambalo linasemekana kukiuka sheria ya uongozi na maadili iliyopitishwa mwaka 2012.
.
RELATED VIDEOS