Rais Uhuru Kenyatta atoa rambi rambi zake kwa familia, jamaa na marafiki wa Prof Ali Mazrui
13th October, 2014
Rais Uhuru Kenyatta ametoa rambi rambi zake kwa familia, jamaa na marafiki wa Prof Ali Mazrui aliyeaga dunia leo nchini Marekani baada ya kuugua kwa muda mrefu.