×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakaazi wa Old Town Mombasa wahofia kupigwa na hata kuuawa na nguvu za umeme

12th October, 2014

Wakazi wa Old Town Mombasa wameelezea hofu yao kwamba wanaweza kupigwa na hata kuuawa na nguvu za umeme . Hii ni kutokana na kuwa mizizi ya mti mmoja katika eneo hilo imebomoa kibanda cha transfoma na sasa mizizi hiyo inagusana na nyaya za umeme. Kwa sasa wameilaumu kampuni ya Kenya Power kwa kujitia hamnazo licha ya kuarifiwa kuhusu hatari iliyosababishwa na mti huo katika eneo hilo.
.
RELATED VIDEOS