x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanamke mmoja amepewa talaka na mumewe kwa kujifunza kwendesha tingatinga

11, Oct 2014

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mtoto msichana. Ni vyema ikumbukwe kwamba katika baadhi ya jamii za kenya yapo majukumu ambayo si ya wasichana au hata wanawake….lakini katika Kaunti ya Wajir mwanamke mmoja amepewa talaka na mumewe kwa kujifunza kwendesha tingatinga kuu la kujenga barabara. Hamza yussuf alifunga safari hadi mjini wajir na kukutana na hadija bishar.

RELATED VIDEOS


Feedback