x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

MJADALA: Kuadhimisha siku ya kimataifa ya haki za msichana

11, Oct 2014

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya mtoto wa kike hapa nchini bado kuna maeneo mengi haswa ya jamii za wafugaji ambako mtoto wa kike hana lake. Mila na tamaduni zinatumika kumnyima elimu na haki nyengine muhimu. Lofty matambo anasimulia kisa cha wasichama 57 katika kaunti ya garisa wanaoishi peke yao kwenye mantatta moja ili waipate elimu baada ya wazazi wao kuwakimbia.

RELATED VIDEOS


Feedback