x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Kenyatta atoa wito kwa wakenya kupiga vita matatizo yanayowakumba kama ukosefu wa ajira

09, Oct 2014

Mbele ya jumba la Harambee rais Uhuru Kenyatta aliwahutubia mamia ya wakenya waliokuwa wamemsubiri kwa muda wa takriban saa tano akiwa katika msafara wa kutoka uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Akiandamana na naibu wa rais William Ruto rais Kenyatta alitoa wito kwa wakenya kuungana ili kuyapiga vita matatizo yanayowakumba kama ukosefu wa ajira miongoni mwa mengine.

RELATED VIDEOS


Feedback