×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge na wafuasi wa Uhuru wahudhuria kikao cha ICC wakiwa wamevaa vitambaa vya bendera ya taifa

8th October, 2014

Mavazi yaliyoshonwa kutoka vitambaa vya bendera ya taifa ndiyo yalizagaa mjini the Hague wakati Uhuru Kenyatta alifika kuhudhuria kikao cha kutathmini kesi inayomkabili.Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki waheshimiwa ambao wanafahamika nchini kwa suti walikuwa watu tofauti kabisa kwenye matembezi ya amani kwenye barabara zilizo karibu na jengo la ICC .
.
RELATED VIDEOS