×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

IPOA: Polisi walipuuza ripoti za ujasusi kuhusu mavamizi ya Mpeketoni

6th October, 2014

Mamlaka inayosimamia utendakazi wa polisi IPOA, imeikosoa idara ya polisi kwa kile imekitaja kuwa kupuuza ripoti za ujasusi kuhusu mavamizi ya Mpeketoni. Kwenye ripoti maalum kuhusu kisa hicho IPOA inasema kuliwapo taarifa za idara ya ujasusi kuhusu mavamizi hayo ya mwezi Juni. Kama anavyoarifu Ali Manzu, baadhi ya maafisa wa kitengo cha kupambana na magaidi ATPU, wanadaiwa kuwa walishirikiana na wanamgambo wa Al-Shabaab katika kutekeleza maafa hayo.
.
RELATED VIDEOS