×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walemavu wamzidiwa na changamoto za kila aina katika shule

4th October, 2014

Peter kirubi ni mhadhiri katika taasisi ya kiufundi ya viziwi huko Karen lakini tofauti yake na idadi kubwa ya wanafunzi wake, yeye anaweza kuzungumza lakini hasikii. Baadhi ya wanafunzi wake wanasikia na kuzungumza lakini wanawasiliana vizuri kabisaaa. Pia mimi nilijiuliza masomo yanaendeleaje katika mazingira kama hayo na nilipata kuelewa maana fika ya msemo mungu hakupi kilema akakunyima mwendo. Taarifa ifuatayo inaupa uzito msemo huu.
.
RELATED VIDEOS