×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wizara ya utalii ya kaunti ya Kwale yaanzisha kampeini ya kuhamasisha shughuli za utalii

30th September, 2014

Wizara ya utalii ya kaunti ya Kwale imeanzisha kampeini ya kuhamasisha shughuli za utalii katika kaunti hiyo. Akizungumza na wanahabari waziri wa utalii na mambo ya mawasiliano ya kiteknolojia Adan Sheikh alisema kuwa wanapania kuanzisha tamasha ya urembo kama mojawapo ya vivutio vitakavyotumika kunadi shughuli za utalii katika kaunti hiyo.
.
RELATED VIDEOS