×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga aendeleza kampeni za kukusanya saini kutoka kwa wakazi wa Pwani

27th September, 2014

Kiongozi wa CORD Raila Odinga aliendeleza kampeni za kukusanya saini kutoka kwa wakazi wa Ukanda wa Pwani katika kaunti ya Tana River. Akiwa Garseni,Raila Odinga aliwataka wenyeji kujitokeza kwa wingi katika wito wa kuandaliwa kwa kura ya maoni. Hamza Yusuf, anaarifu zaidi.
.
RELATED VIDEOS