×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi mbalimbali wamekashifu vurugu zinazo changiwa na siasa zinazoshuhudiwa katika sehemu toauti

24th September, 2014

Viongozi mbalimbali wa kisiasa, wa dini pamoja na wananchi wamekashifu vurugu zinazochangiwa na siasa zinazoshuhudiwa katika sehemu tofauti za nchi. Haya yamejiri kufuatia vurugu za hapo jana katika kaunti ya Makueni ambapo watu watano walijeruhiwa kwa risasi. Na kama anavyoarifu Mashirima Kapombe,visa vya Migori, Kapsabet na Makueni vinaonekana kuwa ishara mbaya kwa demokrasia ya nchi hii.
.
RELATED VIDEOS