x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu 3 wamefariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Athi river, barabara ya Nairobi kulekea Namanga

23, Sep 2014

Walioshuhudia ajali hiyo wamesema, ilitokea baada ya lori lililokuwa likitoka Kitengela kugongana na lori jingine wakati dereva wake alipokuwa akilikwepa gari la kibinafsi lililopunguza kasi ili kuruhusu gari moshi kupita. Dereva alifariki papo hapo huku watu wengine wawili wakifariki walipokuwa wakikimbizwa hospitali. Ajali hiyo ilisababisha msongamano mkubwa wa magari katika barabara kuu ya kutoka Namanga kuelekea Nairobi.

RELATED VIDEOS


Feedback