x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Makabiliano ya risasi yazuka kwenye mkutano wa kupanga kumtimua gavana wa Makueni Kivutha Kibwana

23, Sep 2014

Mlinzi wa gavana wa kaunti ya Makueni Kivutha Kibwana ni miongoni mwa watu 4 waliopigwa risasi katika vurumai iliyokumba mkutano uliopania kumuondoa gavana huyo mamlakani. Maafisa wa polisi waliwajeruhi kwa kuwapiga riasi 4 hao wakati walipowatawanya wenyeji waliokuwa wamefika na gavana Kivuitha Kibwana. Viongozi katika kaunti hiyo wamemtaka gavana Kibwana kuondoka mamlakani kwa kukosa kuwahusisha wenyeji kuhusu ujenzi wa reli, ambao utathiri maisha yao.

RELATED VIDEOS


Feedback