x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana Ukur Yatani akosoa Magavana kwa kushinikiza kufanyika kwa Kura ya Maamuzi

16, Sep 2014

Gavana wa Marsabit Ukur Yatani amewakosoa Magavana wenzake kwa kushinikiza kufanyika kwa Kura ya Maamuzi . Yatani amesema kuwa ni vyema kwa magavana kufanya mazungumzo na serikali ndiposa waongezewe fedha za kaunti badala ya kupoteza muda mwingi katika kuwashwaishi wakenya kuunga mkono kura ya maamuzi. Yatani ameyasema haya alipozuru afisi a shirika la standfard group ambapo pia alieleza hamu ya serikali yake kuungana na shirika hili katika kuhamasisha ustawi na maendeleo katika Kaunti ya Marsabit.

RELATED VIDEOS


Feedback