Awamu ya 62 ya mashindano ya magari ya KCB yaling’oa nanga
13th September, 2014
Awamu ya 62 ya mashindano ya magari ya KCB yaling’oa nanga huku upinzani mkali kati ya madereva ukidhihirika. Wakenya Baldev Chager, Carl tundo na Ian Duncan ni baadhi ya madereva walioonyesha kubobea kwao katika siku ya kwanza. Moses wakhisi na taarifa hiyo